Imarasoft™ IMS Imarasoft™ IMS
  • Imarasoft™ IMS
  • Sign In
  • About Project Imarasoft™ IMS
  • Contact Help

Terms,

By accessing and using Imarasoft™ IMS, you agree to the following terms and conditions: Account Usage: You must provide accurate registration information and are responsible for all activity under your account. Subscription & Payment: Access or use of Imarasoft™ IMS require a paid subscription and some features require additional purchases. Fees or charges (unless otherwise there is a special agreement) are all payable in advance. Acceptable Use: Users must not engage in fraudulent, abusive, or unlawful activity. Termination: Imarasoko reserves the right to suspend or terminate accounts for violations of these terms. Modifications: We reserve the right to update terms. Users will be notified in advance of significant changes. Violation of these terms may result in restricted or terminated access to Imarasoft™ IMS.

Masharti,

Kwa kutumia Imarasoft™ IMS, unakubali masharti yafuatayo: Matumizi ya Akaunti: Lazima utoe taarifa sahihi wakati wa usajili na unawajibika kwa shughuli zote chini ya akaunti yako. Usajili na Malipo: Baadhi ya huduma zinahitaji usajili wa malipo. Ada hulipwa kabla kulingana na mpango uliochaguliwa. Matumizi Sahihi: Hutakiwi kufanya shughuli za udanganyifu, unyanyasaji au zisizo halali. Kufutwa kwa Akaunti: Imarasoko ina haki ya kusimamisha au kufuta akaunti kwa ukiukwaji wa masharti. Mabadiliko: Tunaweza kubadilisha masharti haya. Watumiaji watapewa taarifa kabla ya mabadiliko makubwa. Ukiukaji wa masharti haya unaweza kusababisha kufungiwa au kusitishwa kwa matumizi ya Imarasoft™ IMS.

© Imarasoft™ IMS - Innovating Work, Unlimiting Progress.

© Imarasoft™ IMS - Ubunifu Endelevu, Unaoshinda Vikomo.

  • Legal Kisheria
  • Security Usalama
  • Terms Masharti
  • Privacy Faragha
  • Impact Athari