Imarasoft™ IMS Imarasoft™ IMS
  • Imarasoft™ IMS
  • Sign In
  • About Project Imarasoft™ IMS
  • Contact Help

Impact,

At Imarasoko, we believe technology should drive inclusive and sustainable development. Imarasoft™ IMS is built on this foundation. Our impact includes: Empowering SMEs: Providing affordable, digital business tools for growth. Local Employment: Supporting economic activity and job creation through digital adoption. Sustainability: Encouraging paperless, eco-friendly business practices. Youth & Women Inclusion: Promoting access to technology for youth- and women-led businesses. Community Development: Contributing to digital transformation across Tanzania and Africa. We are committed to continuous improvement and tracking our impact to ensure Imarasoft™ IMS effectively serves both businesses and society.

Athari,

Imarasoko tunaamini teknolojia inapaswa kusaidia maendeleo jumuishi na endelevu. Imarasoft™ IMS imejengwa kwa msingi huo. Athari zetu ni pamoja na: Kuziwezesha Biashara Ndogo: Kutoa zana nafuu za kidigitali kusaidia ukuaji wa biashara Ajira za Ndani: Kusaidia ukuaji wa ajira kupitia matumizi ya teknolojia Uendelevu: Kuhamasisha matumizi yasiyo ya karatasi na mazingira rafiki. Ushirikishwaji wa Vijana na Wanawake: Kuwezesha biashara zinazomilikiwa na vijana na wanawake kupata teknolojia Maendeleo ya Jamii: Kuchangia katika mageuzi ya kidijitali Tanzania na Afrika. Tumejizatiti kuboresha daima na kufuatilia athari zetu ili kuhakikisha Imarasoft™ IMS inahudumia biashara na jamii.

© Imarasoft™ IMS - Innovating Work, Unlimiting Progress.

© Imarasoft™ IMS - Ubunifu Endelevu, Unaoshinda Vikomo.

  • Legal Kisheria
  • Security Usalama
  • Terms Masharti
  • Privacy Faragha
  • Impact Athari